Twiga kuanza na Zimbabwe kuwania mataifa ya Afrika Timu ya Taifa ya wanawake Twiga Stars imepangwa kuanza na Zimbabwe katika raundi ya kwanza ya mchujo wa kuwania kufuzu fainali za mataifa ya wanawake nchini Cameroon mwaka 2016. Read more about Twiga kuanza na Zimbabwe kuwania mataifa ya Afrika