Watoto milioni 138 wanatumikishwa duniani Takriban watoto milioni 138 walitumikishwa katika ajira za watoto mwaka 2024, ikiwemo watoto karibu milioni 54 katika kazi hatarishi ambazo huenda zikaathiri afya, usalama au maendeleo yao. Read more about Watoto milioni 138 wanatumikishwa duniani