Wanajeshi wastaafu Morogoro walia kutelekezwa Wanajeshi wastaafu zaidi ya 4000 wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania mkoa wa Morogoro wamelalamikia serikali za awamu zilizopita kuwatelekeza bila kuwahudumia. Read more about Wanajeshi wastaafu Morogoro walia kutelekezwa