Darasa aamua kusikiliza kilio cha mashabiki

Darasa

Rapa Darasa ameamua kwenda sawa na kile ambacho mashabiki wanakitaka katika muziki wake, kwa kuweka nguvu ubunifu na ubora katika video ya rekodi yake ya Heya Haye ft Mr Blue, ambayo umeicheki kwa mara ya kwanza katika show kali ya FNL usiku wa jana

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS