Nilimpatia Q Chief wimbo wa 'For you' - Harmonize
Msanii Harmonize ambaye wikiendi iliyopita ameachia video yake ya wimbo wa Aiyola, amefunguka juu ya kuandika wimbo wa 'for you' na kumpatia Q Chief ili aweze kurudi vizuri kwenye tasnia ya Bongo fleva.