Alicia atengeneza bilioni 8 za msaada Afrika/India

BlackBall

Mwanamuziki Alicia Keys amefanikiwa kuchangisha dola milioni 3.8 - zaidi ya shilingi bilioni 8 za Tanzania katika tukio la hisani la burudani la Keep The Child Alive Black Ball lenye lengo kuokoa watoto dhidi ya janga la ugonjwa wa UKIMWI

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS