Dr. John ajitoa kwaajili ya vipaji Tanga
Msanii a muziki Dr John kutoka kundi la Wagosi wa Kaya, ameamua kutoa msaada kwa wasanii wengine wanaotoka Tanga, katika harakati za kunyanyua mkoa huo kisanaa baada ya mchango na nafasi yake kubwa katika gemu ya Bongofleva.