A.K.A Ashangazwa na uvumi mitandaoni
Rapa kutoka Afrika Kusini, A.K.A ameshangazwa na ripoti kuwa ana mpango wa kumfungulia rapa wa kimataifa Drake mashtaka ya kudai fidia, akilalamikia star huyo kumuiga wazo la video na mtindo wa kudansi ambao ametumia katika video ya Hotline Bling.