Mkwasa awaomba radhi watanzania kwa matokeo ya 7-0
Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars charles Boniface Mkwasa amewaomba radhi watanzania kwa matokeo mabaya waliyoyapata katika mechi za kufuzu fainali za kombe la dunia baada ya kupokea kipigo kikubwa cha ba 7-0 dhidi ya Algeria.