Hatuwezi kucheza nyimbo za wengine - Makomando Wasanii wa muziki wa Bongo Fleva makomando ambao pia walijipatia umaarufu kwa kucheza, wamesema kwa sasa hawawezi kucheza muziki wa msanii mwngine kwa kuwa nao wanafanya muziki. Read more about Hatuwezi kucheza nyimbo za wengine - Makomando