Watatu washikiliwa kwa kukutwa na milipuko Mtwara
Watu 3 wanashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Mtwara kutokana na kukutwa na vifaa mbalimbali vya milipuko vinavyotumika katika uvuvi haramu wa kutumia baruti katika bahari ya Hindi, katika operesheni maalumu ya kusaka wanaojihusisha na uvuvi haramu