Barnaba - "I am the best"
Msanii Barnaba ambaye kwa sasa anafanya vizuri kutokana na nyimbo yake aliyoshirikisha msanii Jose Chameleone toka Uganda ya Nakutunza, amesema haihofii video ya wimbo huo kutokana na wimbo wenyewe kufanya vizuri bila hata video yake.