Models wetu sio proffesional - Ommy Dimpoz Msanii Ommy Dimpoz amesema sababu ya wasanii kufanya kazi na models wa nje wanapoenda kufanya video ni kutokana na models wa nje kuwa proffesional zaidi kuliko wa hapa nyumbani. Read more about Models wetu sio proffesional - Ommy Dimpoz