Mauzo ya Tanzania katika soko la EAC yaongezeka Taarifa kutoka Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki inaonesha kuwa kiwango cha mauzo ya bidhaa za Tanzania katika soko la Afrika Mashariki kimepanda kutoka 18% hadi 26% Read more about Mauzo ya Tanzania katika soko la EAC yaongezeka