Mkwasa aahidi ushindi dhidi ya Algeria hapo kesho

Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania Charles Boniface Mkwasa amesema, yote waliyokuwa wakiyafanya walipokuwa kambini kwa ajili ya maandalizi ya mechi dhidi ya Algeria watayafanyia kazi hapo kesho ili kuweza kuibuka na ushindi katika mchezo huo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS