Ufaransa yatangaza hali ya hatari.
Ufaransa imetangaza hali ya hatari ikiwa ni pamoja na kufunga mipaka ya nchi hiyo kufuatia mashambulizi ya kigaidi nchini humo yaliyosababisha vifo vya watu zaidi ya 120 mpaka sasa katika shambulio la bomu na bunduki jijini Paris.