Bwanausi atangazwa mshindi ubunge jimbo la Lulindi Matokeo ya ubunge jimbo la Lulindi: Jerome Bwanausi CCM kura 17,715 (87.3%), Modesta Makaidi NLD kura 1,638, Amina Mshamu CUF kura 714, Francis Ngaweje ACT kura 213 Read more about Bwanausi atangazwa mshindi ubunge jimbo la Lulindi