Charlie Sheen ajitangaza kuwa muathirika wa HIV Muigizaji nyota wa filamu ya Two and a Half Men Charlie Sheen, amejitangaza kuwa ni muathirika wa HIV kwenye moja ya vipindi vya televisheni nchini Marekani. Read more about Charlie Sheen ajitangaza kuwa muathirika wa HIV