Nyota ya Vanessa bado yang'ara
Nyota wa muziki Vanessa Mdee anayeendelea kung'ara kimataifa akiwa bado yupo nchini Nigeria aliposhinda tuzo ya Best African Pop ya AFRIMA, anatarajia kutumbuiza katika onesho la kimataifa la AMC huko Jo'Burg Afrika Kusini tarehe 21 mwezi huu.