KIWANDA CHA URAFIKI CHATAKIWA KUWALIPA WAFANYAKAZI
Chama Cha Wafanyakazi Tanzania TUICO kimeiomba Serikali kufanya mapitio upya kwenye mikataba ya wawekezaji waendesha viwanda nchini na kufuatilia haki za wafanyakazi kwa ukaribu zaidi hii ikiwa ni kutokana na nyanyasaji mkubwa unaofanywa na waajiri