Stars yapokea kipigo cha 7-0 Algeria
Tanzania imetolewa katika mbio za kuwania tiketi ya kufuzu kucheza fainali za Kombe la Dunia za mwaka 2018 zitakazofanyika nchini Urusi, baada ya kufungwa mabao 7-0 na wenyeji Algeria katika mechi iliyochezwa uwanja wa Mustapha Tchaker mjini Blida.