Serikali yatakiwa kukomesha ukatili wa watoto
Kufuatia kukithiri kwa vitendo vya ukatili dhidi ya watoto ikiwemo kupigwa na kunyanyaswa na kunyimwa fursa ya kupata elimu ,baraza la Watoto wilaya ya Arusha limeiomba serikali ichukue hatua kali dhidi ya watakao bainika, ili kukomesha vitendo hivyo
