Viongozi watakiwa kufuata kasi ya Rais Magufuli
Wananchi wa wilaya ya Morogoro wamewataka viongozi mbalimbali waliochaguliwa kuunga mkono jitihada za Rais Dk John Pombe Magufuli kwa kuhakikisha wanazuia maswala ya rushwa ili kuharakisha utekelezaji na ukamilishaji wa miradi ya maendeleo.