Fraga aanza kupata mafanikio mtayarishaji chipukizi wa nchini Tanzania Fraga Producer anayechipukia katika kazi za utayarishaji muziki nchini Tanzania anayejulikana kwa jina la Fraga, ameelezea kuhusu mafanikio yake baada ya kuanza kufanya kazi na baadhi ya wasanii wa nchini Nigeria. Read more about Fraga aanza kupata mafanikio