Submitted by richard on Friday , 18th Dec , 2015 Saa 12:00 Jioni #SKONGA wiki hii pale Magoza se. school wanajadili kuhusiana na Kipi ni bora kwa mwanafunzi kufanya graduation baada au kabla ya mtihani wa taifa? Huku wakitokelezea pamoja na wazazi wao.