Serikali yatakiwa kusaidia timu ya ngumi wanawake Serikali na wadau nchini wametakiwa kujitokeza kwa ajili ya kuisaidia timu ya taifa ya ngumi ya wanawake inayojiandaa kushiriki mashindano ya Olimpiki mwaka huu nchini Brazili. Read more about Serikali yatakiwa kusaidia timu ya ngumi wanawake