Serikali marufuku chumvi isiyowekwa madini joto

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Donan Mmbando.

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii nchini imepiga marufuku usafirishaji chumvi isiyowekwa madini joto katika mgodi wa Ngedabi huko Manyara.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS