Azam FC kuweka kambi Tanga kuiwinda Simba Vinara wa ligi kuu ya Soka Tanzania Bara Azam FC inatarajia kwenda ziarani Tanga mnamo Desemba 2 ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya ligi kuu ya soka Tanzania Bara. Read more about Azam FC kuweka kambi Tanga kuiwinda Simba