Country kupeleka mixtape itunes Rapa Country Boy kutoka nchini Tanzania Katika kuleta mapinduzi ya biashara ya kazi za wasanii, Rapa Counrty Boy kutoka hapa Tanzania anatarajia kukamilisha taratibu za kuingiza mixtape yake ya Kama Ulaya vol. 2 katika mtandao wa kimataifa wa Itunes. Read more about Country kupeleka mixtape itunes