Mkude, Kapombe wairudisha Kill Stars Nyumbani
Kiungo Jonas Mkude na Beki Shomari kapombe wameinyima The Kilimanjaro Stars nafasi ya kuelekea katika nusu fainali ya michuano ya Chalenji baada ya kukosa penati na Kill Stars kufungwa mikwaju ya Penati 4-3 na wenyeji Ethiopia.