Bomoa bomoa yatia timu Mkwajuni/Jangwani DSM
Wananchi waliojenga na kuweka makazi ya kudumu katika eneo la Jangwani/Mkwajuni jijini Dr es salaam wamekumbwa na taharuki baada ya kazi ya kubomoa nyumba zao kuanza hii leo chini ya Manispaa ya Kinondoni