Julio: Sasa ni ngoma kali tu baada ya uchaguzi
Kutokana na kuwepo kwa wimbi kubwa la kutoka kwa kazi za wasanii katika kipindi hiki msanii wa muziki Julio amesema binafsi anautafsiri msimu huu kama wimbi la ngoma kali kutokana na kupita kwa vuguvugu la uchaguzi lililozuia wasanii wengi kutoa kazi


