Mashali alipa kisasi amtwanga Cheka kwa Pointi.
Baada ya kuwindana kwa muda mrefu mabondia wa Tanzania, Thomas Mashali wa Dar es Salaam na Francis Cheka wa Morogoro jana usiku walishuka ulingoni katika uwanja wa jamhuri mjini Morogoro kukata mzizi wa fitina wa nani zaidi baina ya wawili hao.

