Ugonjwa wa Kipindupindu wabisha hodi Simiyu
Ugonjwa hatari wa kipindupindu unazidi kushika kasi kila kwa kusambaa katika maeneo mbalimbali ya nchini na kusababisha vifo kwa watu umeingia kwa kasi ya aina yake katika wilaya ya Busega Mkoani Simiyu na kufanya watu 8 kulazwa

