Octopizzo ajitoa katika ligi ya ufalme

Rapa Octopizzo kutoka nchini Kenya

Rapa Octopizzo kutoka nchini Kenya, hatimaye amezungumzia juu ya uhasama ulioanzishwa na staa wa muziki Juliani juu ya ni nani mfalme wa rap Kenya, kati yake rapa Khaligraph pia Rabbit, na kusema kuwa hatajibu lolote katika ligi hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS