TRA yakusanya bilioni 7 kupotea kwa makontena DSM
Mamlaka ya Mapato nchini Tanzania TRA imesema kwamba imefanikiwa kukusanya zaidi ya shilingi bilioni 7 ambazo hazikukusanywa kufuatia kupotea kwa makontaina 329 kutoka Bandari Kavu zilizopo jijini Dar es salaam.