Baby J alilia mabadiliko haya kwenye muziki Bongo
Kufuatia malalamiko kadhaa juu ya mahusiano mabovu kati ya wasanii wa kike hapa Bongo, diva wa muziki Baby J ametoa wito kwa wasanii wenzake kuunganisha nguvu na kuwa na umoja kutokana na kazi wanayofanya kutegemea sana ushirikiano ili kusonga mbele.