Blue afungua ukurasa mpya kwa muziki wake
Baada ya kuachia kwa kishindo video ya Baki na Mimi, msanii wa muziki Mr Blue amesema kuwa, huo ndio mwanzo wa kufunguka na kuwekeza pesa kwa upande wa muziki wake, hii ikiwa ni kazi yake ya kwanza kuingia mfukoni na kuigharamia kikubwa.