Liundwe jopo kusimamia uchaguzi Z'bar-Jaji Bomani
Mwanasheria mkuu wa zamani wa Tanzania, Jaji Mark Bomani, anasema hali ya kisiasa visiwani Zanzibar inatishia mustakabali wa eneo hilo na kama uchaguzi mpya utafanyika basi lazima usimamiwe na jopo maalumu la wataalamu.