Wakazi Dar walidhulumiwa viwanja Mabwepande: Zungu

Mbunge wa Ilala Mussa Zungu amesema kwamba wananchi 4,200 ambao walikumbwa na mafuriko katika eneo la Mchikichini katika jimbo lake la Ilala Dar es salaam na kuahidiwa viwanja na Rais mstaafu Jakaya Kikwete wananchi 80 tuu ndio walipatiwa viwanja.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS