Serikali yaelezea kifo cha mwanafunzi MTZ India
Waziri wa Mambo ya nje, Ushirikiano wa Afrika Mashiriki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga, ametolea ufafanuzi suala la wanafunzi wa Tanzania walioko nchini India, waliovamiwa na kujeruhiwa na msichana kudhalilishwa.

