Nitaendelea kufanya kazi niliyotumwa na CCM - JPM Rais John Magufuli amewataka watendaji wote wa serikali kuhakikisha kuwa wanatekeleza ipasavyo matakwa ya ilani ya Chama Cha Mapinduzi kwa kuwa ndicho kinachoongoza nchi kwa sasa. Read more about Nitaendelea kufanya kazi niliyotumwa na CCM - JPM