Leicester City yaiadhibu Manchester City LICHA ya kutawala mchezo kwa kiasi kikubwa, Manchester City wamechezea kichapo cha mabao 3-1 kwenye uwanja wao wa nyumbani ilipopambana na Leicester City katika mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza. Read more about Leicester City yaiadhibu Manchester City