EID PALMER
Name : Eid Palmer
Born : 15 May
The greatest pleasure in life is doing what people say you cannot do, usikubali ukatishwe tamaa hata kidogo, komaa pigana sana maana hujachelewa wakati wako ndio huu, kama kijana napigana kila siku kuhakikisha nafikia ndoto zangu, wakatishaji tamaa ni wengi ila siwapi nafasi!
