Kisa Nicki Minaj, Shilole asaka Ticha wa Kizungu Msanii Shilole au Shishi Baby, anatafuta mwalimu wa kumnoa kwenye lugha ya kingereza, ikiwa ni maandalizi ya kuonana na msanii wa Marekani Nicki Minaj. Read more about Kisa Nicki Minaj, Shilole asaka Ticha wa Kizungu