Dogo Janja alikuwa anatongoza tu - Madee

Msanii Madee wa Tip Top amesema hajachukizwa na kitendo cha Dogo Janja kuitukana Tip Top na kusema kuwa ilikuwa ni mbinu ya kupata msichana aliyekuwa anamfukuzia, ingawa ni utovu wa nidhamu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS