WADA-Rasimu ya kuzuia madawa Kenya "haikidhi haja" Shirikisho linalopigana na matumizi ya dawa za kuongeza nguvu mwilini katika michezo (Wada), limesema juhudi za Kenya za kupambana na madawa ya kuongeza nguvu mwilini katika riadha hazitoshi. Read more about WADA-Rasimu ya kuzuia madawa Kenya "haikidhi haja"