Nitapambana hadi kieleweke Nyamongo-John Heche
Mbunge wa Tarime Vijijini John Heche (CHADEMA) amesema atashikamana na wananchi wa jimbo lake kudai haki za wananchi kwa serikali na kwa mwekezaji katika eneo la Nyamongo kuwalipa fidia wananchi waliotoa maeneo yao kwa mwekezaji.

