Wapuuzeni waonaotaka msishiriki uchaguzi

Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro

Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro ametoa rai kwa Watanzania wote kuwapuuza wanasiasa wanaowashawishi kutoshiriki katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS