Taifa Stars yalazimishwa sare ya 1-1 na Kenya Timu ya Taifa yaTanzania ‘Taifa Stars’ imelazimishwa sare ya 1-1 na wenyeji Kenya ‘Harambee Stars’ katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa jioni ya leo Uwanja wa Kasarani, Nairobi, Kenya. Read more about Taifa Stars yalazimishwa sare ya 1-1 na Kenya